Back

Tumemwakilisha Metropolitan kwenye Mazishi ya Marehemu Padre Alexander Mwapinga!
Misa imeadhimishwa na Askofu Mkuu Damian Dallu. Homilia imetolewa na Mhashamu Askofu Kyando na ibada ya Mazishi imeongozwa na Askofu Romanus Mihali wa Iringa.  Walikuwepo pia Askofu John Ndimbo, Askofu Vincent Mwagala, na Abate Mstaafu Mhagama; Mapadre, Watawa na Waamini.

ndugu yetu Padre Alexander Mwapinga apate rehema kwa Mungu, apumzike kwa Amani!

Imetolewa na Padre Manfred Mjengwa, Mwenyekiti wa Mapadre Jimbo Kuu la Mbeya