Tumemwakilisha Metropolitan kwenye Mazishi ya Marehemu Padre Alexander Mwapinga!Misa imeadhimishwa na Askofu Mkuu Damian Dallu. Homilia imetolewa na Mhashamu Askofu Kyando na ibada ya Mazishi imeongozwa na Askofu Romanus Mihali wa Iringa. Walikuwepo pia Askofu John Ndimbo, Askofu Vincent Mwagala, …
Wakurugenzi (PMS). EXAVERY MAFWIMBO EDWINA MKARAWA Viongozi wa Jimbo (POPF) M/Kiti: RUBEN NGAMBA M/M/Kiti: ANATORIA GAUDENCE Katibu: AVELINA MLELWA M/Katibu: RICHARD KAWANA Mhazini: ANDREA FINGA Mnamo tarehe 22/02/2025 katika moja ya ziara za ndani ya Jimbo kwa wakurugenzi wa PMS …


