June 02, 2026
Misa ya shukrani ya miaka 50 ya St Hildegard Joseph mwakasumba iliyomfanyika katika Parokia ya Watakatifu Petro na Paulo Tukuyu. Misa hiyo imeadhimishwa na Mhashamu Gervas Nyaisonga - Askofu mkuu wa jimbo kuu la Mbeya akisaidiana na Askofu msaidizi Godfrey Mwasekaga.